Kuhusu Sisi Tunafanya Nini Viongozi Washirika Wasiliana Nasi ← Kurudi
Mfumo wa Kitaifa wa Kidijitali

Kuwaunganisha Familia,
Kulinda Kila Mtoto

TraceKwao ni mfumo wa kitaifa wa kidijitali unaolenga kusaidia kutambua, kufuatilia na kuwaunganisha watoto waliopotea na familia zao kwa kutumia teknolojia ya kisasa.

Kuhusu TraceKwao

TraceKwao ni mfumo wa kitaifa wa kidijitali unaolenga kusaidia kutambua, kufuatilia na kuwaunganisha watoto waliopotea, waliotelekezwa, waliokimbia nyumbani, waliopatikana bila uangalizi wa wazazi au walezi, pamoja na watu wazima waliopatikana wakiwa hawajulikani.

Mfumo huu unatumia teknolojia ya kisasa pamoja na ushirikiano wa taasisi mbalimbali ili kuhakikisha kuwa kila mtoto au mtu aliyepotea anapata fursa ya kurejea salama kwa familia yake.

Family
Kila Mtoto
Anastahili Ulinzi

Dira Yetu & Dhima Yetu

Dira Yetu

Kuwa mfumo wa kitaifa unaoongoza nchini Tanzania katika kulinda watoto na kuwaunganisha kwa haraka, salama na kwa ufanisi watoto waliopotea na familia zao.

Dhima Yetu

Kutumia teknolojia ya kisasa, ushirikiano wa wadau na usimamizi salama wa taarifa katika kurahisisha utoaji wa taarifa, utambuzi, ufuatiliaji na uunganishaji wa watoto waliopotea na familia zao.

Tunafanya Nini?

Kuripoti Watoto Waliopotea

Kuripoti Watoto Waliopatikana

Kuripoti Watu Bila Kutambulika

Kusimamia Uunganishaji

Mawasiliano Salama

Kutambua Wahusika

Kufuatilia Maendeleo

Kanzidata ya Kitaifa

Takwimu na Dashibodi

Rufaa na Uratibu

Maadili Yetu

Mtoto Kwanza

Uadilifu

Usiri wa Taarifa

Ushirikiano

Ubunifu

Huruma

Viongozi Wetu

Picha haipo
Mkurugenzi

Mkurugenzi

Mkurugenzi Mtendaji wa TraceKwao

Picha haipo
Katibu Mkuu

Katibu Mkuu

Katibu Mkuu wa TraceKwao

Taasisi Tunazoshirikiana Nazo

Jeshi la Polisi Tanzania
Maafisa Ustawi wa Jamii
Hospitali
Vituo vya Afya
Mamlaka za Serikali za Mitaa
Vituo vya Kulelea Watoto
Shule na Taasisi za Elimu
Mashirika Yasiyo ya Kiserikali
Mashirika ya Kijamii (CBOs)
Wajitolea wa Jamii

Malengo Yetu

01

Kupunguza idadi ya watoto wanaopotea bila kupatikana.

02

Kuimarisha mfumo wa taifa wa ulinzi wa mtoto.

03

Kuboresha ushirikiano kati ya taasisi zinazohusika.

04

Kuharakisha uunganishaji wa watoto na familia zao.

05

Kujenga na kusimamia kanzidata salama ya kitaifa.

Lengo Kuu

Kuwaunganisha kila mtoto aliyepotea na familia yake kwa salama.

Taarifa za Mawasiliano

Pata Uhuduma

Anwani

Changombe, Temeke, Dar es Salaam

Simu

+255 26 232 0000

Barua Pepe

info@tracekwao.go.tz

Tuma Ujumbe

Akaunti za Benki za Michango

NMB Bank
Namba ya Akaunti
1234567890
Jina
TraceKwao - Michango
CRDB Bank
Namba ya Akaunti
0987654321
Jina
TraceKwao - Michango
M-Pesa / Tigo Pesa
Namba ya Simu
+255 678 000 000
Kumbukumbu
Andika 'Mchango'

Rekodi za Michango

Michango inayotufanya tuendelee kusaidia watoto

TZS 0
Jumla ya Michango
0
Wachangiaji
0
Yamethibitishwa
S/NJinaKiasiTareheHaliVitendo